Fake P
JF-Expert Member
- Jan 3, 2017
- 3,952
- 11,919
mahi buroo anaomba kuona ufigure portablemr likes ni buroooo mahi wangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mahi buroo anaomba kuona ufigure portablemr likes ni buroooo mahi wangu
Hahahahahhaaa hawakuufuta mods? Sijauona kitamboMkuu ule uzi wa like unaujuaaaa?
Comment chochote ule like.
Dah ule uzi nao n mtam haha haaaaa
KUna nyuzi ukikaa huko lazma uwe mtu flan
Mkuu hiv wao hawana kwaresma wala ramadhani?Oya nimepita hapo sio muda dah. Maisha aya. Nimeamua kuondoka ile kuongozana nae ananileta huku upande wa riverside hall kwenye uchochoro flani katangulia mi nikaamsha atakua anafika anageuka hamna mtu. Starehe ya dk 5 isinitoe mchezoni aisee.
sisi walinzi hatuna jambo tunapenda kazi yetuHivi member wa nyuzi nyingine wakituonaga wazee wa Night Vision itakua tunaonekana loosers kinoma.
Khaa hivi kuna kuchat kule au wee una comment na kutokomea 😂😂😂Mkuu ule uzi wa like unaujuaaaa?
Comment chochote ule like.
Dah ule uzi nao n mtam haha haaaaa
KUna nyuzi ukikaa huko lazma uwe mtu flan
Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aiseeMsamehe yule jamaa ni mtu poa. Hafu ana madini sometimes sema ugumu wa maisha tu. Sometimes zinamruka.
NahisiAtakua ana ID mbili yule lazima. Kumpa ban mtu poa yule dah.
Hahahah dah.. mi mtu akiniudhi namtukana inbox huko mods hawaingilii.Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aisee
😂😂😂 Wamasai siosisi walinzi hatuna jambo tunapenda kazi yetu![]()
![]()
mahi buroo anaomba kuona ufigure portable
nakataaaaaaaa![]()
Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aiseeMsamehe yule jamaa ni mtu poa. Hafu ana madini sometimes sema ugumu wa maisha tu. Sometimes zinamruka.
Uchat ugundue nn. We weka picha au comment upewe haki yako.Khaa hivi kuna kuchat kule au wee una comment na kutokomea 😂😂😂
Kule mkuu mbona tunatoa vitu. Kuna ile moja ya kutunga sentensi kwa id za watu dah n hatar sanaKhaa hivi kuna kuchat kule au wee una comment na kutokomea 😂😂😂
Tatizo sio wao, tatizo wateja. 😁😁😁Mkuu hiv wao hawana kwaresma wala ramadhani?
🤣😂😁😁😁 😂😁Hahahah dah.. mi mtu akiniudhi namtukana inbox huko mods hawaingilii.
Dah kumbe mkuu we ndo umesababisha mkuu kapgwa pin. Dahhhhhhhh😢Nishamsamehe kaka ila lazima apate Haki yake ile haiwezekani avunje Sheria za jukwaa ananitukaniia mama yangu aisee
Ile naipata mkuu an ile nilikua naunga unga tuu kila siku...,😂😂😂😂😂Kule mkuu mbona tunatoa vitu. Kuna ile moja ya kutunga sentensi kwa id za watu dah n hatar sana
Hata akisikia hana jambo, tumfanyie graduation mganga wako dihawoiii acha bas shadow wangu asije akasikia[emoji2960]