JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

huku kunaitwa kunichalazia
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png
sameja tuendelee na mambo za wakezo wallah
Wake washanikimbia saivi nahamishia kambi kwako😂
 
We Kaka wewe afu ulichoniandikia kule kwenye siasa sijapenda kiukweli...unachokitaka utakipata
Heee jamani nimekuandikia nini my dada home girl?

Unajua me home hapo Green city!Inyala,Uyole,Sae,mama John,kabwe,mabatini,kalobe,ikuti,iyela mpaka Mbalizi ndo mitaa yangu.

Please I am sorry though sijui nimeandika nini jamani?labda nilighafilika nisamehe
 
Back
Top Bottom