Be calm
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 3,766
- 8,959
🙏🏽nimeitwa mama hadi nimejiskia upepo mzuri moyoni khaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🙏🏽nimeitwa mama hadi nimejiskia upepo mzuri moyoni khaa
Mnataka nilog out? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Unaona raha niendelee kuskiliza story za unavyounguruma? sameja wewe ni muhaya wa wapi?
Miss i'd inajina tamu
log tu labda nitapata amani kweny mahusiano yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Siku sameja akikwambia mama jeni bai bai nitakuchachua. mahi utrapendakwan unamuonea gere[emoji23][emoji23] we sikiliza tu
🤣🤣🤣🥴💋💋🙏🏽Miss i'd inajina tamu
🤣🤣 mkorofi wewe🙌🏿Siku sameja akikwambia mama jeni bai bai nitakuchachua. mahi utrapenda
😳mbona mapema sana mkuu?Usiku mwema
Kwema mkuu. Shida nini?Kwema humu ndani since jana sipo vizuri 😭😭😭😭😭😭
Jana niliumwa presha kaka 😭😭Kwema mkuu. Shida nini?
Pole sana bro. Vipi hali yako kwa sasa?Jana niliumwa presha kaka 😭😭
Nipo fresh ila sio saaanaPole sana bro. Vipi hali yako kwa sasa?
Tumia dawa na chakula kwa wakati, balance your emotions naamini utakaa sawa mkuuNipo fresh ila sio saaana
Yanga..!😂Jana niliumwa presha kaka 😭😭
Siku sameja akikwambia mama jeni bai bai nitakuchachua. mahi utrapenda