Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh eeeh eeh mapenzi tena...Eee mzeee japo hapa kati mapenzi yalininyoosha nkavuruga ratiba najikuta nimezinduka saa nane
ππππππ Yaan kama mtu wa hovyo kasema upo nae uwezi kwepa huu wembeRostam A. Anaweza kuwa mtu wa hovyo?? . poor you![]()
![]()
![]()
Unanifananisha, sijawai imba kwaya, sijawai kutumikia licha ya kuwa na wito wa upadre.Wee umepitia wapi... Au nakufananisha mkuu
Abby charms anasema "niliona mubabu kwa sosho Media ananisema eti sijui kupika ugali...Ni yeye ilisikika hadi zanzibar π
Tajiri wa mahabusuni πalbiii albiiiiiiiiiiiiiiii sitasema mengi ngoja tajiri etu mkuu arudi![]()
![]()
![]()
π huyo mubabu ndio naniAbby charms anasema "niliona mubabu kwa sosho Media ananisema eti sijui kupika ugali...
Mm ni kataaa ndoa pro sikubaliani na mambo ya kula kiapo ila life la sogea tuishi nakubaliana naloEeeh eeeh eeh mapenzi tena...
Kwani na wewe ni team kataa ndoa au πππππππππ
Kesho uje ilazo nikuonyeshe kituππππππ Yaan kama mtu wa hovyo kasema upo nae uwezi kwepa huu wembe
Mabinti buku mbili wana heka heka sana Top In Dar Kawa mubabuπ huyo mubabu ndio nani
Duuuuh... Ikaishia wapi mkuu... ππππππ€Unanifananisha, sijawai imba kwaya, sijawai kutumikia licha ya kuwa na wito wa upadre.
ππ€£πMabinti buku mbili wana heka heka sana Top In Dar Kawa mubabu
Tunasafari ndefu sana... kumbe kwenye uzi wa kula tunda kimasihara unafika? Waifuuu
πππππππππππMm ni kataaa ndoa pro sikubaliani na mambo ya kula kiapo ila life la sogea tuishi nakubaliana nalo
mshauri huyo kijana asicheze na sisi mashangazi akivunjwa asilalamike [emoji81] sinaga masihara kwenye kuvunja mihogo ya vijana wasumbufu
πππππ Uwakika hapo....Kesho uje ilazo nikuonyeshe kitu![]()
![]()
![]()
Vp mubabu mbn unachekaππ€£π