Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Ngoja aje afu ntaku link nae ππππππππNdioo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja aje afu ntaku link nae ππππππππNdioo
Hiyo tag umemaanisha waniita mimi?
Alianza kuniponda..Unataka umkumbushe nini huyu mwepesi sana asikusumbue![]()
![]()
![]()
![]()
Jirani huyu mdogo wako ndio yule aliekulia ukweni? πUsingizi umekata mdogo angu nimepigiwa simu na wambea shemeji yako kaonekana na mwanamke bar wakati kaniaga kasafiri kikazi π€£π€£π€£π€£
Nimekwambia sipendi kuona maji π€£π€£π€£Utapanda kivuko au utapita darajani π€£ππ
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Weee bana weee tunakutania tuu..
Ndo nini sasa umemuita kweli. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mi simo kabisa khaaa
ππ€£πππNimekwambia sipendi kuona maji π€£π€£π€£
Kuna watu nilichagua kutaniana nao lakini siyo huyo bro...labda kama anataka niiondoe ile heshima[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dada em nenda bwana
Basi yaisheeππππππsitaki kukumbuka bwana[emoji38][emoji38] zaid tu umeniumbua sijapendraaaaa
π€£πππNgoja aje afu ntaku link nae ππππππππ
Huyo achana naye atakuharibia usichana wako, mwachie wizo ndio wanawezana πππdada sirudii tena mmi nimekoma walahi[emoji29][emoji29],, sikujua kama unafahamiana na uyu mpenda mishangazi.... anataka atugombanishe tu wakati mi bado "Ntonto"[emoji23][emoji23][emoji23]
Tajiriii ππππππAko na pesa mingi
Jirani sipendi kuona maji nasikia kizunguzungu π€£π€£π€£π€£Acha janja janja pita darajani
Hana baya tajiri Fake P mpaka mbwa wake wanazurura na magariπTajiriii ππππππ
π€£π€£π€£π€£ ngoja amalize mizunguko yake lazima ajeπππππππππππππππππππππππππππππππππππ Weee bana weee tunakutania tuu..
Ndo nini sasa umemuita kweli. πππππππππ
Mi simo kabisa khaaa
Usingizi umekata mdogo angu nimepigiwa simu na wambea shemeji yako kaonekana na mwanamke bar wakati kaniaga kasafiri kikazi [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Weeeeh unavyonipakazia utafikili wewe utapona hapa khaaa πππππππππππππhaumo wapi,, tena naomba aje akukande mpak ukome[emoji81]
Ndiyo yy huyo mtoto bado mbichi hata album haijazinduliwa πJirani huyu mdogo wako ndio yule aliekulia ukweni? π
Weee kaoga kaoga unaonekana tuuuπ€£πππ
Hapa kweli nimebugi.Kuna watu nilichagua kutaniana nao lakini siyo huyo bro...labda kama anataka niiondoe ile heshima