To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Niache kabla sijakuvunja taya😖Humu tu 🥰😍😋😋![]()
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niache kabla sijakuvunja taya😖Humu tu 🥰😍😋😋![]()
kama unazoea makelele ya watoto karaha hope pia kelele za mume au karaha hazitasumbua kichwa😍 Kabisa....mwalimu usipokuwa na stress hakika kuzeeka tunachelewa sana....sasa stress za mikopo ☹️😩
Niache kabla sijakuvunja taya😖
anyway iyo nyingine kama tuliisha wahi kushikana tuendelee tu mahi![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Kelele za mume si tatizo...tatizo ni mume unakuwa na mdomo na kelele afu huduma kwa familia zero....halooo....ukawachukue wanaokufaa nisiye kufaa niache nipambane pekeyangukama unazoea makelele ya watoto karaha hope pia kelele za mume au karaha hazitasumbua kichwa
Duh ila kupigwa na mwanamke Raha sana![]()
@Vincenzo Jr we adui wa Kampuni, nakukumbusha wanyaki wanapiga(ga) waume![]()
Dah kweli akuelewe tu kijana...sina mahi ninayo hii moya japo huwez kuamin,,, jap huk nimekuja 2021 mi niwajuzi na nilikua natumia jina hil hili nahis mod waliiunganisha bt nampang wa kuanzish nyingne ili niombee kazi nije kivingine labda utanielewa[emoji23][emoji23][emoji23],,, maan huk umehisi kama nimetumwa vile[emoji38] wakat sio....... ila hatujawah kukutana mahali yoyte ile zaid ya huku mahiii trus me
opps mpka nimeandika ese nisamee bure ila ndo ukweli
🤣🤣🤣afu siyo mjeda ☹️![]()
@Vincenzo Jr we adui wa Kampuni, nakukumbusha wanyaki wanapiga(ga) waume![]()
😂😂😂🙌🏿Duh ila kupigwa na mwanamke Raha sana
Mukubwa kwemaDah kweli akuelewe tu kijana...
Ngoja kesho nikuonyeshe kofia yangu ya kijeshi🤣🤣🤣afu siyo mjeda ☹️
Kwema kabisa naona mko vzrMukubwa kwema
Naomba puliziiii

🤓sina mahi ninayo hii moya japo huwez kuamin,,, jap huk nimekuja 2021 mi niwajuzi na nilikua natumia jina hil hili nahis mod waliiunganisha bt nampang wa kuanzish nyingne ili niombee kazi nije kivingine labda utanielewa[emoji23][emoji23][emoji23],,, maan huk umehisi kama nimetumwa vile[emoji38] wakat sio....... ila hatujawah kukutana mahali yoyte ile zaid ya huku mahiii trus me
opps mpka nimeandika ese nisamee bure ila ndo ukweli
🤣nami ninayo mkuuNgoja kesho nikuonyeshe kofia yangu ya kijeshi
Kwema kaka mukubwaKwema kabisa naona mko vzr
😁😂🤣nami ninayo mkuu
🙄🤒Naomba puliziiii![]()