JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wakati mama anapungza sauti ya tv na kuongeza sauti ya redio..mara simu ya mezani inaita.....Sauti ya mzee ikasikika tena punguza sauti ya redio ...Mama akamwambia kaongelee ndani ( maana kulikua na simu nyingine chumbani kwao ) akaenda kuisikiliza ...mara baada ya habari ile ..Mzee nae akawa katoka sasa hapa kdg alikuwa tofauti...
 
Wakati mama anapuza sauti ya tv na kuongeza sauti ya redio..mara simu ya mezani inaita.....Sauti ya mzee ikasikika tena punguza sauti ya redio ...Mama akamwambia kaongelee ndani ( maana kulikua na simu nyingine chumbani kwao ) akaenda kuisikiliza ...mara baada ya habari ile ..Mzee nae akawa katoka sasa hapa kdg alikuwa tofauti...
Ikawaje..
 
Ukiwa Hauna Hela Kupata Mwanamke Wa Kweli Kazi Sana,

Ukiwa Unazo Pesa Za Kutosha Pia Kupata Mwanamke Wa Kweli Kazi Vile Vile !

Usiache Kuomba Muongozo Wa MUNGU



Jumaapili Njema
 
Back
Top Bottom