mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
Naona uvivu kupika kakaMambo vipi kaka habari za muchana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona uvivu kupika kakaMambo vipi kaka habari za muchana
Karibu sana kigamboni kaka tule samaki Tasi na dagaaa mcheleNaona uvivu kupika kaka
Nipo kaka, wame itoa ban ndefu 🤒Oya Intelligent businessman umerudi
Ulitakiwa utengeze backup ID temporary. Wakila uku unakuja na nyingine for a time being. Ila karibu mzee.Nipo kaka, wame itoa ban ndefu 🤒
kaka mi I'd moja Ina nitosha tu, beside Kuna rafiki Ali taka nipa I'd yake niperuzi kidogo.Ulitakiwa utengeze backup ID temporary. Wakila uku unakuja na nyingine for a time being. Ila karibu mzee.
Kaka tusameane sisi ni binadamu kaka hili limepita kaka wewe ni rafiki yangu kakaVincenzo Jr sorry about that shit about your mother, I apologize kwa Hilo coz naelewa umuhimu wa wazazi.
But at the same time, my soul tells me Kama uli deserve hivi 🤒.
So acha ni flash Hilo la mama kwanza,
Yashapita. Ulipokosea usirudie achana na issue ndogo ndogo.kaka mi I'd moja Ina nitosha tu, beside Kuna rafiki Ali taka nipa I'd yake niperuzi kidogo.
Ban ilikuwa ndefu kidogo, sema tune shinda mzee
We jamaa mwamba sana. Hahahaaa. Pamoja sana tupo.kama family.Kaka tusameane sisi ni binadamu kaka hili limepita kaka wewe ni rafiki yangu kaka
Kabisa kaka sisi ni family kakaWe jamaa mwamba sana. Hahahaaa. Pamoja sana tupo.kama family.
Umechelewa kuja leo.Here I am mpendwa
Ni kweli, beside sikujua upendo ni mkubwa sana Humu.Yashapita. Ulipokosea usirudie achana na issue ndogo ndogo.
Dogo umeanza kuvuta bangi sasa? Habari za kupika unaniuliza Mimi? 😅😅😅wapendwa ninaomba kwa yeyote anayejua Kupika Ftari anisaidie maelezo ya jinsi ya kupika:
Futari ya viazi vitamu na maharage
Intelligent businessman
Hope urassa
Half american
Analyse
Winnone
Lamomy na wizo 😂😂😂😂
😂😂😂😂 Kusemaje wee ujatokea huku au....Dogo umeanza kuvuta bangi sasa? Habari za kupika unaniuliza Mimi? 😅😅😅
Anyway, sio kesi mchumba naomba umpe maelekezo kwa niaba yangu