Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Wee pa bhana, masuala ya kuji fanya fundi wa kupika huya wezi.Acha basi.
Nani toto 😬😬😬😬😬😬
Juzi nime acha gesi iko wazi aisee😁
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee pa bhana, masuala ya kuji fanya fundi wa kupika huya wezi.Acha basi.
Nani toto 😬😬😬😬😬😬
Pamoja sana Mzee, futeni meza yangu vumbi Leo natia timu🤓Karibu lindoni mkuu
Pengo lako Mr. Poor Brain alilikava vizuriPamoja sana Mzee, futeni meza yangu vumbi Leo natia timu🤓
Sasa ulipotoka ndo nilipo.Sizungumzii nilipotoka, nazungumzia nilipo 😅
Mambo hayo tumwachie Analyse tuuuWee pa bhana, masuala ya kuji fanya fundi wa kupika huya wezi.
Juzi nime acha gesi iko wazi aisee😁
Pambana na hali yako 😅Sasa ulipotoka ndo nilipo.
Toa ushirikiano bila shuruti mkuu
😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏
huyo Analyse asikutishe, ni mwizi mwenzio chamani 🤓🤣🤣Sasa ulipotoka ndo nilipo.
Toa ushirikiano bila shuruti mkuu
😂😂😂😂😂😂🙏🙏🙏
Hovyo kabisa 😂😂😂😂Pambana na hali yako 😅
Kusemaje hujui kupika wewe 😂😂😂🙏Mimi nahusikaje? 😅😅
AikoooooooooooooooooooooYeeee......
Kufa basi kama hutaki salamu yengu😄
Aikoooo
Mjep em njoo mara moja nikuambie kitu kipenz😜Aikooooooooooooooooooooo
Salam yako nzito sana kuipokea peke yangu nashindwa naomba niwaalike kampani To yeye Hope urassa mchangamke sasa au mmepata chakuvaa Idd?
Mwenyekiti kampuni ilishambuliwa sana na huyu albin Half american lakini 2ic nipo ngangaliNasikia illegitimate son of mine, ana lalamika nili mtukania mama ake🤒
Mimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
Huyo nusu albinoo Half american, hana tofauti na pundamilia ty😁🤓Mwenyekiti kampuni ilishambuliwa sana na huyu albin Half american lakini 2ic nipo ngangali
Toto zuri, kupika una jua, Tabia nzuri, sijui huwa una nikataa kwanini 😁😁 AaliyyahMimi Huwa sivifanyii mambo mengi napikaga kiswahili
MAHITAJI
Viazi vitamu
Iriki iliyosagwa
Nazi pakti 1
Chumvi
JINSI YA KUPIKA
Menya Viazi kata vipande unavyopenda
Osha vizuri,weka kwenye ye sufuria weka majji hakikisha majji hayazid wingiwa viaz
Weka chumvi kidogo na iriki
Bandika jikoni acha vichemke Hadi maji yakauke
Weka Tui la Nazi acha ichemke vizuri
Ipua tayar Kwa kula
NB usigeuze geuze na mwiko vitapondeka
Poor Brain
Nimefika tayari sweetheartMjep em njoo mara moja nikuambie kitu kipenz😜
Dear albin Half american As I told you! Don't dwell in that comfort zone!! my condolence to you and your crew. My mwenyekiti he is a wrongdoer, So You are just a little baby gang😂😂😂😂Huyo nusu albinoo Half american, hana tofauti na pundamilia ty😁🤓