Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jana nilipiga sana vyombo.Kujikunyata muda huu? Hutoki out kidogo?
Hope urassa kanishtua ikabidi nije niitike.,,,alone living room nikipata kahawa hapa...karibu sanaLeo mbona roll call mapema @To yeye?
Yeah so nice....maamuzi sahihi cute☺️Jana nilipiga sana vyombo.
Leo nikasema ngoja nipumzike
Me mwenyewe nipo nakula k vant hapa,liwalo na liweee.karibuniJana nilipiga sana vyombo.
Leo nikasema ngoja nipumzike
Majukumu yamenizidi dada yangu nipo paje huku Zanzibar Kuna Dili nafanya na Hali ya hewa nayo inachangia hiiVincenzo Jr hukeshi tena humu..
😭😭😭😭😭😭🥴🥴😭😭😭😭😭😭Uko poa...nilikuambia nimeolewa sitaki unipende🤨
😭😭😭😭😭😭😭 let’s cry together 😭😭😭😭😭😭😭🥴🥴😭😭😭😭😭😭
Zinaozesha mazao mashambani balaa😏Napenda mvua lakini hizi zitatumaliza 🥵
🥴😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭 let’s cry together 😭
🤓✌️🥴😭😭😭
Naunga mkono hoja my ni balaaaa huku nilipo Toka asubuhi hadi mda huu inanyesha tu🥴😭😭😭😭Zinaozesha mazao mashambani balaa😏
😂🥱😅😅😁😁🤣Wanandoa wanafaidiii..!
Hii mvua tutegemee watoto wengi kuzaliwa mwakani
Poleni sana...jifunike barabaraNaunga mkono hoja my ni balaaaa huku nilipo Toka asubuhi hadi mda huu inanyesha tu🥴😭😭😭😭
🥰🥰🥰😘😘🥴🥴😂Poleni sana...jifunike barabara
😉😍😍😍❤️🥰🥰🥰😘😘🥴🥴😂