JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Huu uzi zamani tuliutendea haki sisi wakongwe wa usiku wa manane. Ilikuwa ikifika alfajiri tunafunga geti tunahamia pengine. Ila nyie mmekuja hapa kuharibu mantiki ya huu uzi mnapiga kelele zenu tu huko kulana kimasihara na ujinga mwingine.

Sheenz, malparida.

Maghayo We ni umbwa
Sa ngapi huko? Mkongwe unawivu wa kike seeenz
 
Back
Top Bottom