Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Mle kachana kinyama, msukuma mjanja 🤣😂😂😂msodoki n mnyama sana ana mistar konki sana yaani ama kweli yule ni msukuma mjanja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mle kachana kinyama, msukuma mjanja 🤣😂😂😂msodoki n mnyama sana ana mistar konki sana yaani ama kweli yule ni msukuma mjanja
hahahaha ushaambiwa uskaze msuli kama upaja wako mdogo😂😂fundi bishoo muelekeze kijana🤣😂, washamba Hawa wezi elewa🤣🤣
kijanja wanakaaje muelekeze😂😂 Poor BrainHaujui kukaaa kijanja😂😂
nimeiskiliza juu juu sana natafta sku nitulie niiskize vzr yaaNMle kachana kinyama, msukuma mjanja 🤣😂
kabsa mkuu m namskiliza msodoki apa super nyota album uku nabshana na sadari mkuu Intelligent businessmanPamoja mpaka jogoo namsikiliza mwanangu wakazi na tema yai nation mix n hataree nikiimaliza h album usingizi ukigoma inabid ibada ifanyike aisee!!
Nime kumisi mno 😋😋Omba ruhusa ya kuniita kwanza
Bora ukweli unao una, kuliko ukweli unao fariji.hahahaha ushaambiwa uskaze msuli kama upaja wako mdogo😂😂
Kali mnonimeiskiliza juu juu sana natafta sku nitulie niiskize vzr yaaN
Koh koh koh yaoo yaooo😂😂 mi nipo na smoke uku naangalia muvi moja ya kutisha sana aisee na mvua hii patachimbika
Weeeeeeeeee (in mwakatobe's voice)Nime kumisi mno 😋😋
Ahahahahhaha mi ni mkulungwa😂😂 we sio mwananzengo huwez kuelewa hii lugha em i gugo kidgo
Mi sio mashamba wewe 😂😂😂fundi bishoo muelekeze kijana🤣😂, washamba Hawa wezi elewa🤣🤣
Hali ya hewa hii mama 😋😋😋😘Weeeeeeeeee (in mwakatobe's voice)
nikajua umekuja mjini na fuso la pamba😂😂😂 kumbe boni tauni kitamboMi sio mashamba wewe 😂😂😂
Mi mjanja mbna 😂😂😂kijanja wanakaaje muelekeze😂😂 Poor Brain