Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Naona mnatumia mbinu ya madafu hapa comrade wenzangu ππππππππππππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Oyaa πππMimi ndiyo nawajua wenyewe
unaona mimi nikwambie nitaendeleza alipoishia madawili mnipokee, mujibu tulikua hatujui dawili lilitokea wapi kumbe ni huyu mamaKulikua na major general zawadi madawili..sasa tunaenda kuwa na cdf Fake P
Sawa mrembo CDF ajae....Mimi ndiyo nawajua wenyewe
Hahahahaha ulianzia kwa mujibu kumbe? Utafika mbali kila la kheri ..huyo mama ,sasa kamrithi weweunaona mimi nikwambie nitaendeleza alipoishia madawili mnipokee, mujibu tulikua hatujui dawili lilitokea wapi kumbe ni huyu mama
Sana mie nishaanza hivyo mdg mdg na leo nitaenda pale Club 361 kupiga mbili,tatu za afyaNi wa kuwa NAE karibu mno
Yes kutokea Ngome kamandi ya .....Hahahahaa si mchezo CDF wa kike
Umeonaaeee ngoja nipige debe nije nipate ya chodaYes kutokea Ngome kamandi ya .....
Hahahaha....fanya hivyoUmeonaaeee ngoja nipige debe nije nipate ya choda
chawaa nipo hapa,kutoa sifa kedekedeHahahaha....fanya hivyo
Safi sanaSana mie nishaanza hivyo mdg mdg na leo nitaenda pale Club 361 kupiga mbili,tatu za afya
Mpae mwende wapi?Natamani uwai shela bby uvae
Upendeze na ulivyo chombo wakushangae
Natamani tupewe mbawa baby tupae
Tufike mbali baby wee, baby wee
Haya go, baby ringa
Ikija mvua baby mi nitakukinga
Bailando basi pinda
Ukirudi kwa nyuma nakukinga
Mwanangu wa kwanza kazaliwa 2001 Mimi wa 1980 humu nilikuwepo Toka 2010 hii backup tuuMpae mwende wapi?
Utamkinga na mvua sio π
Haya vijana wa afu 2
Sawasawa safi sanaMwanangu wa kwanza kazaliwa 2001 Mimi wa 1980 humu nilikuwepo Toka 2010 hii backup tuu
Michenzani,Forodhani au Bububu ?Tuko Zanzibari yakhe