JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Idadi ya watu wasio nikubali ime kuwa ndogo Sana, nahitaji wengine.
Wanao bana nawa taka wengine, hata wambea nahitaji wengine,

Maana zama zimesha badilika siku hizi tuna waza kivingine.
So ninge penda wachawi wengine, hata wanoko waje wengine.

Labda intelli Nita pata challenge pengine.
 
Back
Top Bottom