JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Miaka 2 ita kuwa mbaya sana??, na mahari huwa ngapi??
Miaka 2 ya Uchumba sio mbaya iwapo sababu zinajulikana.

Ila Kiutaratibu hutakiwi kuanza kumuonja onja huyo Bibie hadi mbariki Ndoa kabisa.

Unaweza kumuonja onja ukamjaza Kitambi then ukajikuta anaharibu Mipango.

Suala la mahari nafikiri linazungumzika, ongea na huyo Mchumba ako umueleze ungeweza kumudu kulipa kiasi gani

Vinginevyo unaweza kujikuta unalipa milioni 10 😜🙌
 
Tuanzie hapo kwenye ku onja onja, mbona wengi wamesha onjwa Sana😆🤣.

halafu hiyo mahari milioni 10 aisee, toka utotoni tume nunua vitu used, nguo used, sabufa used.
Na mke nae used 🤣🤣🤣
 
Nadhani ita kuwa hivyo, ngoja aki kubali tuta enda bargain mahari😆😀
 
Tuanzie hapo kwenye ku onja onja, mbona wengi wamesha onjwa Sana😆🤣.

halafu hiyo mahari milioni 10 aisee, toka utotoni tume nunua vitu used, nguo used, sabufa used.
Na mke nae used 🤣🤣🤣
Hahaha............. kuonja/kuonjwa 😅🙌

Ukimkuta sealed mahari ya milioni 10 itakuhusu, maana wenzio tulilipa ng'ombe 200 kwa Bibi yenu 🤗
 
Jitahidi uwe na expert mzuri wa ku-bargain

Ukiokoa milioni 1 ama 2 za mahari zitakusaidia kwenda kununua uwanja sehemu
Nina wazee marafiki, kila jioni huwa tuna kutana kupata maziwa, vitumbua vya mayai na hata story 2-3.
Hii team ni zaidi ya extra ordinary 🤓🤣

Wote wame oa na Wana watoto, so kila siku ni kuni sema mimi aisee 🤣
 
Back
Top Bottom