To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Asante love,ndo maisha yenyewePole kwa majukumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante love,ndo maisha yenyewePole kwa majukumu
Sister shkamoo, upo mtoko? Ni sehemu gn kwa Green city patamu leo Ijumaa?Nipo mpenz,,,,uko poa cute?
Marahaba mtoto….huwa sitoki out mdogo wanguSister shkamoo, upo mtoko? Ni sehemu gn kwa Green city patamu leo Ijumaa?
Salamu imepiga limoyo dada nusu nibubujikwee.. sitaki kupoa lakin whyWe mdada,uko poa?
🤣🤣🤣🤣kumbe nimekushtua🥴Salamu imepiga limoyo dada nusu nibubujikwee.. sitaki kupoa lakin why
Weeee serikalini wanaambiana(ga) hongera na majukumu sio polePole kwa majukumu
😳jamani,mbona mkorofi ivo🤓Weeee serikalini wanaambiana(ga) hongera na majukumu sio pole
Sio kunishtua tu imekuja na nderemo. 🤣🤣🤣🤣 yule mlinzi anakuficha hadi hatupendi sasa🤣🤣🤣🤣kumbe nimekushtua🥴
🤣🤣🤣🤣 no kupoaa😳jamani,mbona mkorofi ivo🤓
Sina undugu na mabakuli mimi😁😁😁😁 mimi sikuheshimu tena
Kumbe hidaya nduguyo, ugomvi wa ndugu sio wakuuamini sana wewe na hidaya nduguyo fakin😁
Sina undugu na mabakuli mimi😁😁😁😁 mimi sikuheshimu tena
Kumbe hidaya nduguyo, ugomvi wa ndugu sio wakuuamini sana wewe na hidaya nduguyo fakin😁
Ndio maana anaomba omba vocha inboxNaona unamchapa spana mabakuli, mabakuli huwa ni mbea sana na anapigaga umbea sana na mademu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🥴Ndio maana anaomba omba vocha inbox
Niunge bando la mwezi bas😜Mabosi hawakopi bando za buku buku
Chitaki si ulinipiga chini wewe yaani mimi WA kujipiga msasa na wewe unashangilia 😁😅😁😁😂😂Niunge bando la mwezi bas😜
Nimetoka kupiga pia bhana nikisindikizwa na ile ya aslay na kungwi😋….utajiju🙄Chitaki si ulinipiga chini wewe yaani mimi WA kujipiga msasa na wewe unashangilia 😁😅😁😁😂😂