JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

11:52 PM Unajiita kigogo na unakaa kwenu ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜ kazi una pesa una bando una kopa na kuomba omba na bado una sifa ya umbea umbeya yaani unaenda inbox na kuomba pesa Tena ya mtoto wa kike ๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Inaniumiza sana machozi yananibubujika
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Amkeni msali sasahv malango yamefungukaaaa salini kemeeni mapepo ya ubahili
 
Back
Top Bottom