Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahahaha..mie hata sijui nn kinaendeleaWeeeeeeh em tuambieni huko mlioko Pwanii.
Mambo kunaendaje usiku huu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahaha..mie hata sijui nn kinaendeleaWeeeeeeh em tuambieni huko mlioko Pwanii.
Mambo kunaendaje usiku huu.
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😭😭😭😭😭😭😭😭😭😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😁😁😁😁😅😂😂😂Kuna bosi kampelekea umbea mtoto wa kike inbox 😁😁😁😁
Itakua huko vyombo wewe.Hahahahaha..mie hata sijui nn kinaendelea
Haya mie sipo huko😁😁😁😁😅😂😂😂Kuna bosi kampelekea umbea mtoto wa kike inbox 😁😁😁😁
HahahahahaItakua huko vyombo wewe.
😁Hahahahaha
Nasikia Kijichi upepo ulikuwa mkali sanaHahahahaha..mie hata sijui nn kinaendelea
Ndio kimbunga bi hidaya ?Nasikia Kijichi upepo ulikuwa mkali sana
Ila mnaoweza kutulia au kupuyanga kwenye viwanja vya starehe mpaka muda huu nawanyoshea mikono 🙌Nimetoka hapo muda si mrefu
Bi Hidaya kapita pande hizo muda si mrefu kuelekea kusini kisiwani mafia 😆😆Ndio kimbunga bi hidaya ?
HahahahahaIla mnaoweza kutulia au kupuyanga kwenye viwanja vya starehe mpaka muda huu nawanyoshea mikono 🙌
Km ndiyo yeye bi hidaya basi yuko vzrBi Hidaya kapita pande hizo muda si mrefu kuelekea kusini kisiwani mafia 😆😆
Kwakweli mi niliona ni sehemu ya kuuchosha mwili mapema tu. Starehe zangu zote mwisho saa sita tu ili asubuhi niamke nikiwa organised kimwiliHahahahaha
Kesho Jumapili acha leo turudi saa 12Kwakweli mi niliona ni sehemu ya kuuchosha mwili mapema tu. Starehe zangu zote mwisho saa sita tu ili asubuhi niamke nikiwa organised kimwili
Aliamua akate kona baada ya kuona vijana wa Dar hamujamkaribisha ipasavyo. Angekatiza juu ya ardhi tokea pwani ya Kijichi kuja kuibukia Mbezi beach tuone hivyo vijengo vya katikati hapo vingestahimili rabsha ya bi Hidaya?🤣🤣Km ndiyo yeye bi hidaya basi yuko vzr
Ukianzia Kidimbwi ukaja Juliana ukaona Ubolt uibuke Tips .... Ukasema acha nimalizie wavuvi Unakumbuka mara 1245 Hujatulia Unasema acha nmalzie Kitambaa nikalale ..... Kitambaa Unaskia small planet pana vibe la alfajiri Aaah unawaza niende Tabata ila Mbona Pameshakucha!!!Ila mnaoweza kutulia au kupuyanga kwenye viwanja vya starehe mpaka muda huu nawanyoshea mikono 🙌
Hapo bado starehe pendwa ya Adam na Hawa hujaipata😆😆Ukianzia Kidimbwi ukaja Juliana ukaona Ubolt uibuke Tips .... Ukasema acha nimalizie wavuvi Unakumbuka mara 1245 Hujatulia Unasema acha nmalzie Kitambaa nikalale ..... Kitambaa Unaskia small planet pana vibe la alfajiri Aaah unawaza niende Tabata ila Mbona Pameshakucha!!!
Apo inabidi uchukue Mmoja Sinza au Pale Riverside ukamalzie Asubuh yako mpaka sa tatu Hivi ....Unaingia Misa ya PiliHapo bado starehe pendwa ya Adam na Hawa hujaipata😆😆