JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wewe ni Mwanachama mwenzangu ..... Au unaniekea mkaa kwa Juu wali Uive Vizuri mkuu 🙂😃
Hapana mie siyo mnywaji ila huwa sipendi mtu ajinyime starehe yake kwa masimulizi ya biblia au watu….hapana hapana…kilakitu tumia kwa kiasi basi maisha yananyooka
 
Back
Top Bottom