Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
fundi bishoo mtu na nusu yule, dam yangu yule no matter whatfundi bishoo hanaga maneno na watu kwann wamempa break?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fundi bishoo mtu na nusu yule, dam yangu yule no matter whatfundi bishoo hanaga maneno na watu kwann wamempa break?
fundi bishoo, mwanetu Hana baya yule, msela flani hivi noma kiroho safiNadhani ndio sababu wameondoka na fundi bishoo dah
Mabakuli Hana maana kabisaNdio maana anaomba omba vocha inbox
naunga mkono hoja kaka 😀 😀😀😀😀😀😀😎😎😎😎😎😎😎😎Mabakuli Hana maana kabisa
Mwanetu anaependa kudeka na kulialia 😂😂fundi bishoo, mwanetu Hana baya yule, msela flani hivi noma kiroho safi
nipo somewhere in mbeya inasoma 21°C20:28 baridi
View attachment 2981883
sema ana kuja na misemo inayo trend😄😂Mwanetu anaependa kudeka na kulialia 😂😂
Hana bayaa.sema ana kuja na misemo inayo trend😄😂
Familia yule, no matter what.Hana bayaa.
Kuna siku nilishare screenshot ya Chrome kwenye pc, group la WhatsApp kazini. Kuna kitu naonesha.20:28 baridi
View attachment 2981883
Wahi silahapowaaa upo gudi
Kujipamba kwa uoga00:00 in advance
Trending xxxx🤓🤣😂Kuna siku nilishare screenshot ya Chrome kwenye pc, group la WhatsApp kazini. Kuna kitu naonesha.
Kuna hii torrent site inaitwa 1337X nadhani. Aisee watu walidhani mambo yetu. Maana ile X ni nyekundu.
View attachment 2981956
Aisee niliishi kwa shida sana. Watu waliniundia group jingine. Kunisema.
Nililia sanaTrending xxxx🤓🤣😂
Sasa uli Lia kisa nini??Nililia sana
Nilikua nimeacha nna kama week 2 sijaangalia, wao wakasema nimeangalia.Sasa uli Lia kisa nini??