Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Duh polee sananipo somewhere in mbeya inasoma 21°C
I can't imagine in njombe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh polee sananipo somewhere in mbeya inasoma 21°C
I can't imagine in njombe.
Polee kaka 😂😁Kuna siku nilishare screenshot ya Chrome kwenye pc, group la WhatsApp kazini. Kuna kitu naonesha.
Kuna hii torrent site inaitwa 1337X nadhani. Aisee watu walidhani mambo yetu. Maana ile X ni nyekundu.
View attachment 2981956
Aisee niliishi kwa shida sana. Watu waliniundia group jingine. Kunisema.
06:56 Lindo nimelifunga rasmiKujipamba kwa uoga
Mlingoti chuma bendera chuma in Nagwa voiceKujipamba kwa uoga
Hidaya yupi tena?Kutokana na dharura iliyopo lindo liendelee vikosi kazi vingi vinapambana na Hidaya huko
Huyu huyu wa kimbungaHidaya yupi tena?
Wazee wa pwani nasikia walimkalia kitako... ashakimbia hayupo kwa sasaHuyu huyu wa kimbunga
Kajitingisha kidogo furiko la kutoshaWazee wa pwani nasikia walimkalia kitako... ashakimbia hayupo kwa sasa
Round ijayo aje na jina la kiumeKajitingisha kidogo furiko la kutosha
Oddo ndyo umemponyoka now 🤭🤭🤭🤭🤭Humu