Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Alishikiriwa mateka ?Oddo ndyo umemponyoka now 🤭🤭🤭🤭🤭
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alishikiriwa mateka ?Oddo ndyo umemponyoka now 🤭🤭🤭🤭🤭
akuje ajbuAlishikiriwa mateka ?
😭😭😭 mpaka sasa ni hostage, chaajabu tumetuma msaada amekataa 😭😭😭Alishikiriwa mateka ?
Hahahahaha..huyu hostage atarudi na mjukuu na hiki kimbunga hidaya na baridi hili😭😭😭 mpaka sasa ni hostage, chaajabu tumetuma msaada amekataa 😭😭😭
Hostage Ndo manini😭😭😭 mpaka sasa ni hostage, chaajabu tumetuma msaada amekataa 😭😭😭
😂😂😂😂😂😂 tumuache ni ntu ntu nzima yooo au kumuhitaji pasono pasono😂😂😂Hahahahaha..huyu hostage atarudi na mjukuu na hiki kimbunga hidaya na baridi hili
Ndo weapooo manka. umekananaia kwa mtuHostage Ndo manini
Blaza men yupo clab analewa anayumba,Poor Brain habari yako mukubwa upo kimyaa sana skuizi
nipo fresh sana rafiki yangu wasalimie mwanza hukooPoa Vin
uko poa?
Aiseee life la huku ni complex zaidi ya ile ya plasmodium....kula maisha kaka naskia huko ulipo maji ya chupa sio 500 ni afu tatu