Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Kwanini sasa mbna tupo huku unyama mwingi na mwanangu Vincenzo JrWapi dar? Siji ng'o
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini sasa mbna tupo huku unyama mwingi na mwanangu Vincenzo JrWapi dar? Siji ng'o
Maisha magumu mnabaki kuwa walokole na kuwatajirisha kina mwamposaKwanini sasa mbna tupo huku unyama mwingi na mwanangu Vincenzo Jr
za kumshinda adui usingizinguvu za nini
Mdogo angu hili jiji sio gumu kiivo ni vile ujakaa tuu...Maisha magumu mnabaki kuwa walokole na kuwatajirisha kina mwamposa
Juzi nimepita huko aisee hali yenu ni mbaya
pale kawe jamaa anapiga sana pesaMaisha magumu mnabaki kuwa walokole na kuwatajirisha kina mwamposa
Juzi nimepita huko aisee hali yenu ni mbaya
mji mzuri sana huuMdogo angu hili jiji sio gumu kiivo ni vile ujakaa tuu...
Fanya uje nikupeleke maeneo uka injoi life
Kwa wamama na wadada ...pale kawe jamaa anapiga sana pesa
Nashangaaa anavyokaza fuvumji mzuri sana huu
naunga mkono hoja mji mzuri sana huu aje kigamboni huku ni kuzuri sanaKwanini sasa mbna tupo huku unyama mwingi na mwanangu Vincenzo Jr
Foleni, unakaa kwenye daladala masaaMdogo angu hili jiji sio gumu kiivo ni vile ujakaa tuu...
Fanya uje nikupeleke maeneo uka injoi life
kabisa wanajaaa wengi sana pale afu naskia kuna sadaka mara 4 skuiziKwa wamama na wadada ...
Daaah aiseeee
Kuna mambo yanakwepeka ila mpka uwe mzoefu dogoFoleni, unakaa kwenye daladala masaa
Na huyu kiboko ya wachawi wa buzapale kawe jamaa anapiga sana pesa
kaka ulienda mbagala to makumbusho niniFoleni, unakaa kwenye daladala masaa
😂😂😂😂😂😂😂😂 Bongo akili tuu qmmkkabisa wanajaaa wengi sana pale afu naskia kuna sadaka mara 4 skuizi
Chain inaanzia ufundi...kaka ulienda mbagala to makumbusho nini
balaa sana pale majuzi nilishikilia bomba kwenye daladala watu tumejaaa weeengiii hadi makumbusho hiyooo nusu nifeee niltoka kigamboni nikaingia mbagala nikaingia makumbusho nilikoma sanaChain inaanzia ufundi...
Upo kwa boda 😂😂Natoka home now,usingizi hakuna.
Nikishaingia road itajulikana huko niende wapi.
Eeh Mungu niepushe kwenda mitaa yenye malaya