Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
uolewe utulie kimya manka0142+
Umevuta nini CDF?kauli imekaa kibabe kaah kama una mwambia malayer inama nikusweke mxiiiiiee, weka swag kidogo, nani kakwambia walinzi hatubebiki 😓😓😓😓😓
kanikumbusha mmoja wa wale matapeli nikaamua ni mvae jumla jumla🤣🤣🤣Umevuta nini CDF?
Nilitaka kuja PM nkapotea sijui ni wapi kukuomba afu 1safi mdogo wangu, ndo umeniona sas hiv?
Hahahahahaaaa dunia hiii kuna vijana wa hovyo sana sifurikanikumbusha mmoja wa wale matapeli nikaamua ni mvae jumla jumla🤣🤣🤣
Business firm imechafuka sana inabidi nikimbize hisa zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Nilitaka kuja PM nkapotea sijui ni wapi kukuomba afu 1
HahahahahaBusiness firm imechafuka sana inabidi nikimbize hisa zangu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ukikutana mtoto wa mtu huko anazaga zagaaa kukuleta kimasihara, liumize kwanza, 🤣🤣🤣 halafu mguu kwenye MafutaHahahahahaaaa dunia hiii kuna vijana wa hovyo sana sifuri
Kimasihara ni mbayaukikutana mtoto wa mtu huko anazaga zagaaa kukuleta kimasihara, liumize kwanza, 🤣🤣🤣 halafu mguu kwenye Mafuta