To yeye
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 35,686
- 86,968
Povu gani tena mkuu….tunapiga story tu hapa wakati upiteHamna sjamfukuza nami namepitia hapa. naona unatoa povu nkaona jamaa kama anakuonea..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Povu gani tena mkuu….tunapiga story tu hapa wakati upiteHamna sjamfukuza nami namepitia hapa. naona unatoa povu nkaona jamaa kama anakuonea..
Fanya usumshukuru afu uone kama hutoboi.. Mungu amekubariki toka kitambo hata ukisahau kumshukuru anakucheki tu..01:44
Asante Mwenyezi Mungu kwa pumzi ya muda huu maana pasipo rehema zako sitoboi Jehova🙏🙏🙏
AminaFanya usumshukuru afu uone kama hutoboi.. Mungu amekubariki toka kitambo hata ukisahau kumshukuru anakucheki tu..
Usilale kaka nami nlikua napasha tu tuendelee na stori kaka😁😁😁😁Nipo leo nna hamu ya kulala ila usingizi umegoma kabisa sijui n nani ananiwaza.
01:20
Nna dogo ako apa anasumbua sjui kapatwa na nn..ntalala kweli??Amina
Mzibue makofi 🤨Nna dogo ako apa anasumbua sjui kapatwa na nn..ntalala kweli??
😁😁😁😁unazingua... Af leo sjawasha kama janaMzibue makofi 🤨
Kuwasha ndo kulewa?😁😁😁😁unazingua... Af leo sjawasha kama jana
Mwanangu nampenda sana siwez mzibua bila shida ooteMzibue makofi 🤨
YaaaKuwasha ndo kulewa?
Bas mwambie aache usumbufu mkuuMwanangu nampenda sana siwez mzibua bila shida oote
Pombe si kitu chema sana kukizidishaYaaa
Sjawasha kabisa leo toka monii. Yaan jicho leupe kabisa ntalala kweli??Pombe si kitu chema sana kukizidisha
Utalala tu ….mie tayari najilaza sasa hiviSjawasha kabisa leo toka monii. Yaan jicho leupe kabisa ntalala kweli??
Kuna sehem hapa pana mziki mkubwa pananishwishi kutoka😀😁😂😃😇😇😇Utalala tu ….mie tayari najilaza sasa hivi
Em tulia ndani bhana…..usiku sana sahiziKuna sehem hapa pana mziki mkubwa pananishwishi kutoka😀😁😂😃😇😇😇