mbotoro kivoi
JF-Expert Member
- Sep 11, 2017
- 973
- 1,358
Kusin kaskazini kati apa location Yako inasoma mbaliKijichi bar ya getway hapa muda huu, ambae yupo hapa asogee kwenye pool table hapa tujuane
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusin kaskazini kati apa location Yako inasoma mbaliKijichi bar ya getway hapa muda huu, ambae yupo hapa asogee kwenye pool table hapa tujuane
Pambana fatherNdio mkuu tunajitafuta kwa watu huku👍👍
What's up world?Hey people
Acha story nyingi.. upo eneo la tukio?Kusin kaskazini kati apa location Yako inasoma mbali
Ndiyo Hali n shwari amani imetawalaAcha story nyingi.. upo eneo la tukio?
Simuoni Mlinzi wa zamuKwanini umeuliza mkuu?
Tupo mkuuSimuoni Mlinzi wa zamu
Kesho unaenda kanisani au msikitini?Tupo mkuu
Napendelea kuwepo kote kila ninapopata nafasi kwa kesho ni kanisani tuu.Kesho unaenda kanisani au msikitini?
Vp wewe chief?Kesho unaenda kanisani au msikitini?
Mkuu kikao wapi leo ama unalinda ndoa??Haya tukuje kulinda wajameni.
Ndoa wapi ndugu,Napanga havipangiki.Mkuu kikao wapi leo ama unalinda ndoa??
Sipo hizo pandeVp wewe chief?