Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Elimu haina mwisho
Upo Europe nchi ganiTupo live 😂
kaka nipo kaziniNimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.
Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Nipo wales mkuuUpo Europe nchi gani
Naona wewe ni jirani wa BaleNipo wales mkuu
Watu wapo macho wanaZoom tuLeo mahudhurio hafifu sana😂😂😂
Dar weekend inaanza jumatano😂😂Watu wapo macho wanaZoom tu
AIseeDar weekend inaanza jumatano😂😂