Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Huenda ni hivyo awe na mapumziko mema.Kwenye mitandao kunasababisha mambo ambayo muda mwingine unahitaji mapumziko
Naamini ameenda kupumzika atarudi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huenda ni hivyo awe na mapumziko mema.Kwenye mitandao kunasababisha mambo ambayo muda mwingine unahitaji mapumziko
Naamini ameenda kupumzika atarudi
Hadi wewe huna taarifa zake?Sijui kimemkuta nn
Nawe upoBora Mzee anajipa raha, maisha ndiyo hayahaya... Raha jipe mwenyewe.
1:36
12:0612:05
Hapa ndiyo nyumbani, toka mwaka 2014. Mimi ndiyo huwa naufufua ukifa huu uzi. Malkia wa usiku wa manane... 😎Nawe upo
Uolewe sasa askariHapa ndiyo nyumbani, toka mwaka 2014. Mimi ndiyo huwa naufufua ukifa huu uzi. Malkia wa usiku wa manane... 😎
Tayari hukupata mualiko kumbe?Uolewe sasa askari
Kazini kwetu kumekucha....Chumbs cha dharura nimeshafika
Upasuaji mdogo atakwepo Half american
Chumba cha uzalishaji atakwepo Bantu Lady
Mapokezi atakuwepo Mbaga Jr na To yeye
Walinzi wa leo ni Shadow7 Poor Brain Mtoto halali na hela na Vincenzo Jr
Make sure bro anakuwepo maana nae kaadimika sana. Uzi unapoa sanaaaHapa ndiyo nyumbani, toka mwaka 2014. Mimi ndiyo huwa naufufua ukifa huu uzi. Malkia wa usiku wa manane... 😎
Hivi kweli Intelligent businessman kapotelea wapi tena?Make sure bro anakuwepo maana nae kaadimika sana. Uzi unapoa sanaaa
Haijulikani nilitegemea Half american angekuwa na majibu ila nae hajuiHivi kweli Intelligent businessman kapotelea wapi tena?
Mwenyezi Mungu amlinde, popote pale alipo. Atakapokuwa tayari tunamkaribisha tena. Hii ni familia kabisa,,,, Usiku wa manane.Haijulikani nilitegemea Half american angekuwa na majibu ila nae hajui
Reporting on duty bossChumbs cha dharura nimeshafika
Upasuaji mdogo atakwepo Half american
Chumba cha uzalishaji atakwepo Bantu Lady
Mapokezi atakuwepo Mbaga Jr na To yeye
Walinzi wa leo ni Shadow7 Poor Brain Mtoto halali na hela na Vincenzo Jr
Mungu ni mwemaKumekucha
HapanaTayari hukupata mualiko kumbe?