Hope urassa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2017
- 4,230
- 10,650
0126+
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sema vizuri jukwaa lipo wapi mniunge😭😭 kila tunapo sahau huu msiba mnatukumbusha tena. Hakika JLW lilikua ni jukwaa pendwa la watu
Mi bila hili jukwaa Bora niachane Tu na jf na ndio kilicgonirudisha😂😂😂😭😭 kila tunapo sahau huu msiba mnatukumbusha tena. Hakika JLW lilikua ni jukwaa pendwa la watu
Hadi kaburi lake lilishapitiwa na barabara.. pole sanaMi bila hili jukwaa Bora niachane Tu na jf na ndio kilicgonirudisha😂😂😂
Mtoto mdoooogo! 😂😂Sema vizuri jukwaa lipo wapi mniunge
🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆Hadi kaburi lake lilishapitiwa na barabara.. pole sana
Mbona hukuniita huko mpaka vnakufa na kinahusiana na n?Hadi kaburi lake lilishapitiwa na barabara.. pole sana
Pole sana na jikaze tu.🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆🙆
Watoto wanasoma ni mtu mzima kisheti 🤣🤣🤣🤣 hv mtu mzima kisheti humaanisha nini fake p? Kuna mahali nlisoma nkaduwaa kugoogle haiji maana yakeMtoto mdoooogo! 😂😂
Hakuna kitu we mtoto vingine vikupite.Mbona hukuniita huko mpaka vnakufa na kinahusiana na n?
Unakuwa mchoyo wewe 😅
Sasa lengo Lao ilikuwa ni nini? Kwamba jukwaa linatuharibu watu wazima na ndevu zetu kama katani au?Pole sana na jikaze tu.
01:34 amWatoto wanasoma ni mtu mzima kisheti 🤣🤣🤣🤣 hv mtu mzima kisheti humaanisha nini fake p? Kuna mahali nlisoma nkaduwaa kugoogle haiji maana yake
Hahahahahaa unamaanisha matendo yake ni ya kitoto?01:34 am
Definition ya mtu mzima kisheti wewe niangalie Mimi😂😂
Sasa utajua mwenyewe unavyonidefine 🤩Hahahahahaa unamaanisha matendo yake ni ya kitoto?