JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Wazee wa night
 
sikuhizi mmepoaaaa mpka si poa sijui ni upepo gani ulipita kipindi nipo off, wakati miez mi3 nyuma mda kama huu ilikua ni mwendo wa vijembe na mahaba ndi ndindi kutoka kwa To yeye na Shadow7 ,,, eniweiiii nimewamithi sanaa,, mdogo wangu Hope urassa I see yu,, msalimie yule bebi wako😁😁😁
😳 Wee Shadow7 mbona hukuniambia kama Yale yalikuwa ni mahaba....maana we ndo crush wangu....hivyo nilipaswa kufahamishwa kwa kweli😟
 
sikuhizi mmepoaaaa mpka si poa sijui ni upepo gani ulipita kipindi nipo off, wakati miez mi3 nyuma mda kama huu ilikua ni mwendo wa vijembe na mahaba ndi ndindi kutoka kwa To yeye na Shadow7 ,,, eniweiiii nimewamithi sanaa,, mdogo wangu Hope urassa I see yu,, msalimie yule bebi wako😁😁😁
Tupo sana mkuu... sikupata notification ya hiyo tagging
 
Back
Top Bottom