JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

hii ni kweli mkuu..?
Mkuu nakupa dawa ya sisi wasafiri unauliza hii ni kweli tena?madereva wa masafa marefu mara nyingi wanakua na coca hiyo chumvi anajua ataipata popote kwenye vijiji akitingwa sana..ukinywa hiyo reaction inayotokea tumboni hata uwe na tatizo gani hautaenda tena chooni..
 
Back
Top Bottom