Rayns
JF-Expert Member
- Jul 29, 2023
- 3,620
- 7,818
Kwa sababu tunalala mchana... Usiku tunafanya kazi ubongo ukiwa active zaidi...Vijana wadogo kwa nini mnakosa usingizi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa sababu tunalala mchana... Usiku tunafanya kazi ubongo ukiwa active zaidi...Vijana wadogo kwa nini mnakosa usingizi?
Apo sawa.Kwa sababu tunalala mchana... Usiku tunafanya kazi ubongo ukiwa active zaidi...
Hatuna pesa masterVijana wadogo kwa nini mnakosa usingizi?
Unapumzisha akili na mwili bro, pesa zinategwa hazitafutwi hazijapotea mkali 😁Mna lala mnaraha gani? Mna pesa?
Kuna muda huwa inabidi tu usilale... Ila sio kila siku...Unapumzisha akili na mwili bro, pesa zinategwa hazitafutwi hazijapotea mkali 😁
Yaani nimelala hata sijashiba vizuri usingizi napata kwa mfano, nimekula tu chakuka cha bukuUnapumzisha akili na mwili bro, pesa zinategwa hazitafutwi hazijapotea mkali 😁
Kuna muda huwa inabidi tu usilale... Ila sio kila siku...
Mnatania ndugu mapumziko ni muhimu kwa afya ya mwili na akiliYaani nimelala hata sijashiba vizuri usingizi napata kwa mfano, nimekula tu chakuka cha buku
Sawa.. usiku mwema...Mnatania ndugu mapumziko ni muhimu kwa afya ya mwili na akili
Huu muda tulivu ndio ufikirie vizuri na kupanga mipango vizuriYaani nimelala hata sijashiba vizuri usingizi napata kwa mfano, nimekula tu chakuka cha buku
Sawa mkuu, yaani hapa nimeweka neti lakini mbuu wanataka tugawane tuchakula cha buku nilichokulaMnatania ndugu mapumziko ni muhimu kwa afya ya mwili na akili
Wewe si unataka tulale... SawaMimi bado sio usku😁😁
Kulala ni muhimu mno au ukikosa usingizi kabisa una amka una fanya meditation inakupa utulivu wa akili vizuri.Wewe si unataka tulale... Sawa
Meditation ni inasaidia nini na nani alokufundisha au ulijifunza wapi?Kulala ni muhimu mno au ukikosa usingizi kabisa una amka una fanya meditation inakupa utulivu wa akili vizuri.
Dah alafu mbuu wanasifa wakikupenda huwa wanakuandama na wanakera mno😃Sawa mkuu, yaani hapa nimeweka neti lakini mbuu wanataka tugawane tuchakula cha buku nilichokula
😁😁 unapata utulivu wa akili, mawazo hayakuendeshi ,unayaendesha wewe ni kitu ambacho ulipaswa kukijua tu sema utamaduni wetu haukujenga mazoea nacho.Meditation ni inasaidia nini na nani alokufundisha au ulijifunza wapi?
Ni kitu kibaya au kizuri, na unaweza kufa ukifanya au ni salama😁😁 unapata utulivu wa akili, mawazo hayakuendeshi ,unayaendesha wewe ni kitu ambacho ulipaswa kukijua tu sema utamaduni wetu haukujenga mazoea nacho.
Ninafanya zaidi ya miaka kumi mbona sijafa na kwa nini unaogopa kufa😁😁Ni kitu kibaya au kizuri, na unaweza kufa ukifanya au ni salama