Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 52,160
- 48,974
Likizo imekua fupi hii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi wapi huko? 😥Yeah, sema nyie town uko watu wengi sana labda ndio maana mnachelewa kulala
Si huko kwenu labdaWatu wengi wapi huko? 😥
Salute 🖖 kamandaAfande
ndo ulale sasa ukue😅Nakula break now, kazi nyingi sana
Heshima, leo nimerejea kambini lindo nitaanza kesho afandeSalute 🖖 kamanda
Ucjal kwa leo pumzika ntakusaidiaHeshima, leo nimerejea kambini lindo nitaanza kesho afande
Baba alisema kulala kunaleta umaskinindo ulale sasa ukue😅
Sawa afande, ukitoka pita pale upate chochote kabla hujaenda pumzikaUcjal kwa leo pumzika ntakusaidia
Lakucha mangi.Sawa afande, ukitoka pita pale upate chochote kabla hujaenda pumzika
Haina shida, niko na ka chupa apa naenda chukua kimiminikaSawa afande, ukitoka pita pale upate chochote kabla hujaenda pumzika
Totoo mambo ya msingi aanhaa. Upumbav sasa hodari. 😂cease friendly fire😅
hawayuuu mrembo....
Natumaini ni gahawaHaina shida, niko na ka chupa apa naenda chukua kimiminika
Nulaa satsi?Lakucha mangi.
Salute 🖖 kamanda
Mtoto halali unapokea salute kama nani? 😡😡Heshima, leo nimerejea kambini lindo nitaanza kesho afande
Angalia list hapo lindo utaona cheo changuMtoto halali unapokea salute kama nani? 😡😡