JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Wakatu huu tukiwa tumepumzika, tuwakumbuke na kuwaombea waliopo mahospitalini pamoja na madaktari wanaopambania uhai wao.

20240713_081954.jpg
 
01:15 Sipati Usingizi Kabisa Jamani, nikilala hata dakika ishirini kausingizi kakianza mwili unapooza na kulegea kama naparalyse moyo unashtuka hivyo nalazimika kubaki hivyo macho bila kulala
Pole Mkuu.

Shida nini?
 
Back
Top Bottom