JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

FB_IMG_17241609272690362.jpg

Kama huna D mbili uezi elewa.
04:08
 
Nimefungua uzi huu kutokana na kuwa na janga la kukata usingizi usiku. Kama na wewe ni mmojawapo naomba tuungane pamoja hapa kwa kuandika ulipo na unafanya nini kwa wakati huo baada ya kukosa usingizi.

Muda wa jukwaa ni kuanzia saa 6 usiku mpaka 11 asubuhi. Mimi hapa leo tangu nimeamka nimeamua KUFANYA IBADA Tuuuu!
Naenda kununua kisungura...maana khaaa..
 
Back
Top Bottom