JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

IMG_0175.png
 
hivi kama nikisema nikomae nisilale.. na kipindi hicho wachawi wamenipangia mpango wa kunilimisha si nitakuwa nmewapunguzia nguvu kazi….. Ngoja nione watatumia mbinu gani kunipata #leosilali 😂😂😂
 
Wadau kwani mia khalifa amestaafu au??? Sijaingia kweny platform zao mda sana sijui hata miaka mitat hii tuzo wamepata wakina nan
 
Back
Top Bottom