Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
00:4500:37
01:3200:45
1:3401:32
Njo tulinde wote, amna watu leo nipo na arabic coffee 😂Lindo liendeleeeee!! [emoji91][emoji91][emoji91]
Hahaa 😂Muda wa kwenda chumbani kwa beki tatu
Pole atakaa sawa .Nimepigiwa simu na First born wangu huko Mjini, anasema Bibi yenu anaugua Malaria, hivyo nimejikuta na Mimi huku Kijijini naugua automatic 🙌
Unajua sisi Wazee tulioishi miaka mingi na Bibi mmoja, hupelekea kuanza kufanana vitabia. Yaani Bibi akiugua hupelekea Babu naye Augue.
Kuhusu suala lako, angalia hilo tukio sawasawa unaweza kukuta ni utamu wa Ulanzi wenyewe tu ukafanya ukumbuke mbali 😅
Amen Mkuu 🙏Pole atakaa sawa .
Hapana lilikuwa ni suala la kutaka kumchagua mwenyekiti wa kijiwe chetu hasa tunapokutana kunywa ulanzi ,Sasa kinachoniwazisha ni kuwa sikatai kuwa mmoja wa watu wanaohudhuria hili eneo kupata ulanzi ila nimesikitika kuona watu wa Rika kubwa kwangu na vijana wadogo waliojikatia tamaa wanaomba kama ni issue ya uenyekiti wanadai nipewe Mimi .🤔
Hili limenizindua kuwa Sasa kama watu waliojikatia tamaa na maisha na wasio na mawazo ya mbele tena wanaona Mimi ndiye naweza kuwa nsemaji wao ,mwenyekiti wao basi pasina Shaka nami naelekea kuwa kama wao ,hakika nimeumia na nipo katika mawazo ya kukata mguu wangu pale .
Kwenye bia nilikuwepo mda mrefu ila nina changamoto ya kiafya niliipata ikabidi nipumzike bia ili niende locally ila kwa haya Bora nirudi Bar kunywa maji tu kakaAmen Mkuu 🙏
Nashauri kama bajeti itaruhusu hamia kwenye beer tu, ukikaa nasi kwenye viti virefu tunaweza kubadirishana mawazo pengine hata kupeana deals za hela
Kuna pombe ya kienyeji inaitwa Komoni, umewahi kusikia? Kama una shida ya kiafya nadhani hii pombe Iko vizuriKwenye bia nilikuwepo mda mrefu ila nina changamoto ya kiafya niliipata ikabidi nipumzike bia ili niende locally ila kwa haya Bora nirudi Bar kunywa maji tu kaka
Sio ile inakuwa kama maji ? Ambayo pia inapatikana mkoa wa kagera ? Basi ikiwa ni hii nishainywa zamani kidogo ila haikupenda kichwa changu maana kila nilipoinywa nilileta vurugu huko mkoani Kagera kiasi Cha kuhamishwa kituo Cha kazi maana niliwatesa Sana Wana mtaa nilipokuwa nimepanga kaka .Kuna pombe ya kienyeji inaitwa Komoni, umewahi kusikia? Kama una shida ya kiafya nadhani hii pombe Iko vizuri
Huenda ni hiyoSio ile inakuwa kama maji ? Ambayo pia inapatikana mkoa wa kagera ? Basi ikiwa ni hii nishainywa zamani kidogo ila haikupenda kichwa changu maana kila nilipoinywa nilileta vurugu huko mkoani Kagera kiasi Cha kuhamishwa kituo Cha kazi maana niliwatesa Sana Wana mtaa nilipokuwa nimepanga kaka .
Ni hiyo hiyo kaka ,hiyo siwezi kuinywa tena haina maelewank mazuri na kichwa changuHuenda ni hiyo
Mikoa ya Morogoro, Mbeya, Iringa hadi Rukwa kule niliona Wanatumia Mahindi kuipika
Ni hiyo hiyo kaka ,hiyo siwezi kuinywa tena haina maelewank mazuri na kichwa changuHuenda ni hiyo
Mikoa ya Morogoro, Mbeya, Iringa hadi Rukwa kule niliona Wanatumia Mahindi kuipika