Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Hongera sana ratiba nzuri.....Akili na mwili wangu ndivyo ulivyo, since mtoto.
sipendi kulala, nawaza Soma vitabu au kuangalia movie usiku mzima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana ratiba nzuri.....Akili na mwili wangu ndivyo ulivyo, since mtoto.
sipendi kulala, nawaza Soma vitabu au kuangalia movie usiku mzima.
nili wahi umwa kisa kuto kulala, mwili una chemka 😂Hongera sana ratiba nzuri.....
Mi kichwa huwa kinauma siku nikilala masaa machache labda manne hivi kichwa kinauma.nili wahi umwa kisa kuto kulala, mwili una chemka 😂
hiyo Nisha sikia kwa watu, sema Mwaka Jana nilipo pata ajali ndio nili lala Sana.Mi kichwa huwa kinauma siku nikilala masaa machache labda manne hivi kichwa kinauma.
2023 ndo Mara ya mwisho wewe humu?Niliumiss sana huu uzi .
Salamu kwa wadau
Unawanga nao??02:49 nipo hapa nabishana na wachawi.
KIDUMU02:23 kidumu chama Cha ma jobless pro max
Ndio na mda sio tutakufikia ulipo.Unawanga nao??