JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kama unataka kulala na usingizi hauji basi fungua hii link

Kisha unganisha simu yako na spika alafu weka sauti kiasi

Kuna sauti tamu ya mvua pia unaweza kuongezea na manjonjo kama sauti za radi au upepo mkali kunogesha kupata usingizi mwanana.
 
Mkuu nipe njia niidownload hii
 
Back
Top Bottom