Madame B
JF-Expert Member
- Apr 9, 2012
- 31,155
- 35,683
Ndio maana tunajipinduaga.Iliwahi kuni kuta hii, ila sikua na lakufanya , usiku ulikua mkubwa mno
Ila vya kuiba vitamu..., hatari!!
Ungetafuta njia mbadala.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana tunajipinduaga.Iliwahi kuni kuta hii, ila sikua na lakufanya , usiku ulikua mkubwa mno
Poleni sana.Iliwahi kuni kuta hii, ila sikua na lakufanya , usiku ulikua mkubwa mno
Nakesha nikiwa Makao makuu ya nchi yangu pendwa.Madam unakesha ukiwa wapi?
Huku green city baridi linaninyima usingizi.
Umeonae! Bahati mbaya neno nigejua huja baada ya!Ndio maana tunajipinduaga.
Ila vya kuiba vitamu..., hatari!!
Ungetafuta njia mbadala.
Na jua mnatucheke wenye ndoa tunavyo lizwa na ndoa zetuPoleni sana.
Naogopa ngwengweNakesha nikiwa Makao makuu ya nchi yangu pendwa.
Pita picnic, kamata demu wa kuupasha mwili joto😃
Kabisa.Umeonae! Bahati mbaya neno nigejua huja baada ya!
Ningejua ningefanya hivyo leo nisingekuwa hapa.
ili iweje sasaNa jua mnatucheke wenye ndoa tunavyo lizwa na ndoa zetu
Unakuwa makini tu mpwa.Naogopa ngwengwe
Hahaha kuna karibia kuchwa kwetu wengine.hakujacha
Jamani 😪😪Hahaha kuna karibia kuchwa kwetu wengine.
wacha nikae macho nione wanavyosemaga wachawi wanapita usiku ni kweli au laUnakuwa makini tu mpwa.
Ila uoga wako ndio pona pona yako.
Vuta duvet, kumbatia mto....chapa ilaleeee🛌
Weweeee.wacha nikae macho nione wanavyosemaga wachawi wanapita usiku ni kweli au la
unawaogopa?Weweeee.
Acha hizo.
Watakujia kweli.
Hawataniwi hao
Wewe ukilala mtupu ndio wanakuja na sio wao wakija watupuunawaogopa?
nasikia wanakuja uchi😆
waje tupeane joto