JamiiForums V.A.R

V.A.R kwan inatakiwa iweje mkuu?

Umeziona VAR zako mzee

Picha inakuwa inapatikana na inaonyesha pote na sio kipande unakificha

Yaani picha imepigwa lakini ni vigumu kugundua kosa kwa macho ya kawaida inahitaji umakini

Sasa mkuu piano anakuwa anaficha kipande au kinakuwa kimegichwa halafu kinaonekana baada ya VAR

Angalia VAR za mfilist picha ipo kwa wote ila huoni tatizo mpaka VAR ije ila mwamba piano picha imefichwa by any means huwezi ona hiyo kasoro au kosa
 
sawa boss umeeleweka,

Lengo la uzi ni kushare tu, dont take it too serious
 
Sawa mkuu jimmyfoxxgongo tuta rekebisha hilo.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…