Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Huyu lizaboni Naona anadamu ya kunguniLizaboni kaoge maji mchicha mkuu
Ulikua hujui mkuuAisee kumbe hcho ndo kirefu cha jina lake!!
Haha mkuu unataka package ya wangapi?Wasitoe ofa ya mtu mmoja,hainitoshi
Malaria Sugu ni kilimkumba mkuu last activities yake ni zamani sanaEnzi zile utani utani huu tukampoteza MTU alikua mjinga kuliko hao wote mliowataja akina Lizaboni alikua akijiita @zubedayo mchuzi na rafiki yake Malaria Sugu hahahahahaha hawapo tena

Duh mzee ubaini vipi hayo?mi nawachukia sana madume wenye id za kike
miss natafuta
mw...
nahakikisha hawaludi humu
Huyu jamaa anabahati mbaya hiyo list ya wooote wakimpiga ban ya wiki moja kili mmoja jamaa itabidi abadili id tu hahahaa[emoji38]Lizabon
Isije ikawa ndio wewe umeweka picha ya putin na kusema ni peace maker kule US darajani hahahahHuwezi amini tangu jana naumiza kichwa nimtaje nan wa kupewa BAN nimekosa[emoji1] [emoji23]
Kama itakuwa na umuhimu zaidi wa mtu mmoja Lazima apigwe ban nitajitaja mimi mwenyewe, sababu nauona umuhimu wa kila mtu katika nafasi yake 'peace n lov'
Sipendagi ujinga mimiMungu anakuona hapo ulipo.
swissme
Hapana...anaitwa Elizabeth Boniface (Lizaboni)Aisee kumbe hcho ndo kirefu cha jina lake!!