JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Ukiweza kutimiza na kuyaishi haya uliyoeleza hapa, utakuwa mke mwema na mama bora,   na ndoa yako itadumu.
Halafu wanawake wenye kuwaza hivi ni adimu sana!
 
Vina Muda basi? Single mother in the making
 
Hiyo script ukiisoma Kwa jicho la tatu, sterling wa picha hapo ni Mgweno. Huku ulipo sasa unaulazimisha tu moyo usukume maji badala ya damu.

Anyway... zetu dua.

-Kaveli-
 
Joined april 8 ndani ya miezi miwili umepata na mtu wa kukuoa kabisa humu jf.Daah dada mnunulie mbuzi mganga wako.


Au una ID ya zamani?
Kweli mahusiano ya miezi miwili tayari yamekufanya upate assurance ya kuolewa na mtu wa JF.Kugharamika kwake kwako isiwe sababu ya kukuridhisha kwako kwamba yuko serious unajuaje kama anataka mbususu tu kisha ajitose baharini.Any way,sisi tunakutakia kila la heri utimize lengo lako la kuolewa.Ila usisite kutupatia mrejesho pale mambo yataenda halijojo.
 
Hapana una miezi miwili tangu nikupokee hapa iweje ushapata mchumba na uolewe?Uko sawa kweli we kabinti special usije olewa kwa stress za mgweno ohhhho

Na ukiisoma script yake Kwa umakini, utagundua kuwa Mgweno bado ni champion kwenye moyo wa mwandishi.

-Kaveli-
 
Sasa kichwa cha habari unaolewa, ndani umeelezea kuhusu mapenzi na ex wako.
Dah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…