Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha aseee sihusikiiiiNipo naomba hap anae kuoa asiwe Sharamdala Mungu saidia asiwe huyu mchawi wa china
Inategemea na macho yao hao wanaume.😂😂😂Una uhakika kwa jinsi ulivyo unaweza fanya wanaume tufanye competition akn
Hata mimi nimeshangaa sana aisee.Kumbe kupata mume humu jf ni rahisi namuna hii 🤣🤣🤣🤣 basi sawa si tupo hapa hapa
Hahhaah sas si watubless tu Watakachokutana nacho baad ya hpo wataamua sasa km Wanamalizia dakka Tisini au Mpka Matuta.Wanawake wa jf hawataki mwanaume mwenye kibamia, hajoi kutomber na hana hela
Ukiweza kutimiza na kuyaishi haya uliyoeleza hapa, utakuwa mke mwema na mama bora, na ndoa yako itadumu.Najua ndoa zina changamoto, najua mume wangu mtarajiwa atakuwa na madhaifu yake, najua kuna siku za kulia na siku za kucheka najua kuna siku tutapata na kuna siku tutakosa najua kuna mengi mazuri na mabaya yatajitokeza ila hata itokee nini kamwe sitafanya yafuatayo;
1) Sitamcheat hata akipoteza dushe yake.
2) Sitamdharau hata akikosa uwezo wa kunipa jero.
3) Kamwe sitajiona nina akili kumshinda.
4) Kamwe sitapaza sauti yangu ninapoongea nae.
5) Kamwe sitonyanyasa watoto wake ambao mama yao amefariki, kwani tayari nawapenda na wao wananipenda kama nimewazaa mimi.
Vina Muda basi? Single mother in the making"Apataye mke apata kitu chema; Naye ajipatia kibali kwa Bwana."
MITHALI 18:22.
Wapendwa nilitaka nipotee kimya kimya, ila kwa namna hii ID yangu ilikaribishwa kwa upendo na kwa upendo nilionao kwa marafiki na ndugu zangu zangu niliojipatia hapa JF nimeona sio ubinadamu nikaitelekeza hii ID bila kuwaaga halafu niwaache wapendwa wangu wakijiukiza Clepatina kapatwa na nini mbona kapotea jukwaani.
Wapendwa, Mungu akitoa kibali November ninaolewa na mchumba niliyempatia hapa JF.🤣❤️.
Huyu jamaa hajanikuta single. Alinikuta nikiwa kwenye uhusiano na jamaa ambae hata hapa jukwaani nishawahi kumtaja kama Mgweno.
Kwa huyu mgweno ndiko moyo wangu uliko. Nilimpenda sio kwa moyo wangu wote bali kwa vyote vilivyotumika kuniumba. Nilimpenda sana huyu mwanaume kiasi cha kuwaona wanaume wengine wote walionitongoza kama wachumba tu🤣.
Baadae nikagundua ninampenda Mgweno zaidi ya anavyonipenda na nikawa mtu wa kulalamika kila siku.
Hata hivyo Mgweno ndio aliyesababisha huyu shemeji yenu mpya atangaze ndoa fasta fasta.
Ni hivi,wakati nakutana na Mgweno nilikua na stress sanaa kiasi kwamba nilikua naonekana kama nina mara mbili ya umri wangu. Nilikua nimechoka sana. Nilikua kibibi🤣 lakini mahaba na faraja alizonipa Mgweno zikarudisha peace of mind na stress zikaisha na Clepatina nikawa pisi kali tena🤣.
Amini usiamini, mwanamke akipendwa na mwanaume anayempenda uzuri wake unarudi🤣. Ndio maana mtu ukiwa single hufatwi ila ukipata tu wa kukupenda utashangaa kila mwanaume anakutaka🤣.
Sasa baada ya kuona Mgweno haeleweki/kabadilika nikapambania penzi haijasaidia, ndio kajitokeza huyu shemeji yenu mpya na japo hatuna muda mrefu na siwezi kusema namjua vizuri ila nafsini mwangu nahisi amani juu yake.
Kwa hatua alizochukua na gharama alizoingia juu yangu nina imani yuko serious katika kutaka kunioa.
Yeye na familia yake yote ni walokole kama mimi na ninajihisi salama kuwa mikononi mwa mwanaume amchae Mungu.
Ndugu zangu, mwanaume Mcha Mungu, msomi, mwenye ofisi zake kubwa kubwa, handsome, mpole ila mkali kwenye upuuzi, asiyependa wanawake wengi na mwenye mapenzi kama kapewa limbwata, hatoki kokote zaidi ya Mbinguni kwa baba Mungu, Mungu wa ishara na miujiza. Mgweno anisamehe ila naamini huyu ndie niliumbwa toka ubavuni mwake❤️.
Hii itakua ni post yangu ya mwisho hapa. Kwa sasa najikita zaidi kusoma biblia kama alivyoniomba mume wangu mtarajiwa na pia kutumia free time yangu kujifunza kupika. Sijui kupika ndugu zangu😭 na shemu wenu kasema kutojua kwangu kupika ni tatizo na mpaka siku ananioa niwe nimeshajua kupika.
Najua ndoa zina changamoto, najua mume wangu mtarajiwa atakuwa na madhaifu yake, najua kuna siku za kulia na siku za kucheka najua kuna siku tutapata na kuna siku tutakosa najua kuna mengi mazuri na mabaya yatajitokeza ila hata itokee nini kamwe sitafanya yafuatayo;
1) Sitamcheat hata akipoteza dushe yake.
2) Sitamdharau hata akikosa uwezo wa kunipa jero.
3) Kamwe sitajiona nina akili kumshinda.
4) Kamwe sitapaza sauti yangu ninapoongea nae.
5) Kamwe sitonyanyasa watoto wake ambao mama yao amefariki, kwani tayari nawapenda na wao wananipenda kama nimewazaa mimi.
Kwa mnaonipenda naombeni mniage kwa neno zuri la ushauri.
Joannah Half american Gily
I CAME, I SAW, I CONQUERED.
Sauwah chakoriiiInategemea na macho yao hao wanaume.
Kama wanamakengeza ndio hivyo tena sheikh
Nitakutwanga mangumi wewe jitoe ufahamuHahahaha aseee sihusikiiii
Kweli mahusiano ya miezi miwili tayari yamekufanya upate assurance ya kuolewa na mtu wa JF.Kugharamika kwake kwako isiwe sababu ya kukuridhisha kwako kwamba yuko serious unajuaje kama anataka mbususu tu kisha ajitose baharini.Any way,sisi tunakutakia kila la heri utimize lengo lako la kuolewa.Ila usisite kutupatia mrejesho pale mambo yataenda halijojo.Joined april 8 ndani ya miezi miwili umepata na mtu wa kukuoa kabisa humu jf.Daah dada mnunulie mbuzi mganga wako.
Au una ID ya zamani?
Hapana una miezi miwili tangu nikupokee hapa iweje ushapata mchumba na uolewe?Uko sawa kweli we kabinti special usije olewa kwa stress za mgweno ohhhho
Swali number moja...mna muda gani tangu mfahamiane?
Dogo naona anamega tu nakuacha 😄
Tusubiri jibuNami nina swali Kwa mwandishi:
Ni kwanini ameingiza back-ground history ya yeye & Mgweno kwenye story ya penzi lake jipya?
-Kaveli-
Mie nimeshangaa tu penzi la miezi miwili na ndoa hiiiíiiiiii wanaume!🙆Ila ukweli usemwe November sio karibu, mambo mengi yanaweza kutokea hapa katikati😂😂😂tukashindwa kula ubwabwa bure
Mungu amsaidie tu apunguze kiherehere ili mambo yamnyookee.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2089][emoji2089][emoji2089]kutest mitambo ni jambo la muhimu sana jamani kuna wanawake uko chini au ngoja niishie apoNi jambo la heri; Je wame test mitambo na kuona inafanya kazi vizuri?, ndoa bila kuwa na uwezo wa kupelekeana moto hiyo ni batili!
we unaonajedah watu wana sumu[emoji3]