JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Hongera sanaaa
Bado weweee 🔥🔥🔥🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️🏃🏿‍♂️
 
Akikuacha huyo unipe taarifa nami nije ili unisifie kama huyo.

Kama huyo sifa yake ulokole naamini yangu itakuwa maendeleo
 
Hongera sana mpendwa Mungu akujalie uzma,amani na upendo vikaijaze nyumba yako.
 
Kila la kheri katika ndoa yako, Mwenyezi Mungu akuepushe na mabaya yote. Uufaidi utamu wa ndoa mwanetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…