Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
Akiamka atakutana nayoKeshalala saa hiz dada yangu๐คฃ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akiamka atakutana nayoKeshalala saa hiz dada yangu๐คฃ
Bado weweee ๐ฅ๐ฅ๐ฅ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธHongera sanaaa
Hatunaaaaaaaaa ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธHarusi tunayo hatuna
Jambo gani tena? ๐คทโโ๏ธAposto fanya jambo
TunayooooHatunaaaaaaaaa ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ๐๐ฟโโ๏ธ
Kuna jamaa humu alisema jana kuwa inawezekana JF ina memba wa ukweli ambao hawazidi hata 10! Ndiyo maana ukiingia mtaani hakuna anayeifahamu JF. Imejaza mafyekero tu mtu ana akaunti hata 50 ๐Hizi anonymous IDs za jf, bure lijamaa linajitongozesha na kujikubali lenyewe ๐ค๐
Huyo kaongopa๐๐๐binafsi mtaani kwetu kuna jf members kama 13 ninao wajuaKuna jamaa humu alisema jana kuwa inawezekana JF ina memba wa ukweli ambao hawazidi hata 10! Ndiyo maana ukiingia mtaani hakuna anayeifahamu JF. Imejaza mafyekero tu watu ana akaunti hata 50 ๐
Upo sahihi mkuu, watu wana multiple IDs na hapo ndo utata sasaKuna jamaa humu alisema jana kuwa inawezekana JF ina memba wa ukweli ambao hawazidi hata 10! Ndiyo maana ukiingia mtaani hakuna anayeifahamu JF. Imejaza mafyekero tu watu ana akaunti hata 50 ๐
Na wewe niliona uzi wako libaharia eti limekuzimikia linataka lioe CPA. Niliumia sana soulimeti.Hongera sana dear na ikawe kheri kwenu ๐
Jamani ๐๐ hadi mbembetule unaijua soulimeti? Umenikosha, ila bado siku ikitokea ntakualika tuchezeNa wewe niliona uzi wako libaharia eti limekuzimikia linataka lioe CPA. Niliumia sana soulimeti.
Uko poa lakini? Tunacheza mbembetule lini?
hahaha IamBrianLeeSnr nasikia ni mahututi kalazwa hospital huko temeke๐คฃ
๐๐๐Nashauri ufute kwanza app ya bpawa kabla haujaanza kupokea michango๐