JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Umesema ana ofisi ? huyo si fundi cherehani!

" zangu, mwanaume Mcha Mungu, msomi, mwenye ofisi zake kubwa kubwa, handsome, mpole ila mkali kwenye upuuzi, asiyependa wanawake wengi na mwenye mapenzi kama kapewa limbwata, hatoki kokote zaidi ya Mbinguni kwa baba Mungu, Mungu wa ishara na miujiza. Mgweno anisamehe ila naamini huyu ndie niliumbwa toka ubavuni mwake❤️."

Umepata kitu chema kama ana sifa hizo
Ndio ni fundi cherehani.
Hongera kwa kupatia👏👏
 
Nakushukuru kuona kunamaneneo yenye busara na yahekima umeongea kwa msisitizo kwa kujiamini ukumbuke umeweka agano na Mungu siku ukifanya hayo uliyoyaorodhesha lazima itakutokea puani kama sio puani kwenye uzao wako itatokea tu Nakutakia ndoa njema yenye kheri na baraka tele sisi tuanaendelea kutafuta wahatima zetu pia
 
Nashukuru mkuu.
Sio rahisi kwani najua kuna packages za majaribu ya aina mbalimbali zinatusubiri lakini kwa msaada wa Mungu nitaliishi hilo agano.
Uzuri mwenza wangu ni mtu wa maombi sana na baada ya kuwa nae maisha yangu ya kiroho yameimarika.Amehakikisha kauvivu nilikokua nako kwenye maombi na kujifunza neno kameondoka..

Once again,asante mkuu.🙏
 
Ashukuriwe Mungu mwema kwa kila jambo
 
Mkongo WA kupaka wap dada cleopatina
 
Attachments

  • Screenshot_20230615-230150.png
    Screenshot_20230615-230150.png
    146 KB · Views: 9
Kuna mawili.

Wewe ni ID ya kike ila Muhusika wa ID ni yule alokuanzishia Uzi ( Me ).

Nakam wee kweli ni Ke, basi Kabla ya mwezi huo wa November mtakua mmeshaachana kitambooooo sanaaa Kwa sababu Mubusika atakua keshaichapa Mbususu yako.!!.

Maneno haya, yapige screenshot, kayaprint, uyafiche chini ya godoro !!.

November tukutane !!!
Basi si mpaka iwe kweli[emoji849]
 
Back
Top Bottom