JamiiForums ya Maxence Melo imenipatia mume. Clepatina naolewa

Ndio ni fundi cherehani.
Hongera kwa kupatiaπŸ‘πŸ‘
 
Yes.You are not sweet😬
You are bitter, rude and disrespectfulπŸ˜ƒ.

My Mlokole knows that Im capable of love and that's what mattersπŸ™πŸ˜¬
What mlokole? I think he is the figment of imagination
 
Nakushukuru kuona kunamaneneo yenye busara na yahekima umeongea kwa msisitizo kwa kujiamini ukumbuke umeweka agano na Mungu siku ukifanya hayo uliyoyaorodhesha lazima itakutokea puani kama sio puani kwenye uzao wako itatokea tu Nakutakia ndoa njema yenye kheri na baraka tele sisi tuanaendelea kutafuta wahatima zetu pia
 
Nashukuru mkuu.
Sio rahisi kwani najua kuna packages za majaribu ya aina mbalimbali zinatusubiri lakini kwa msaada wa Mungu nitaliishi hilo agano.
Uzuri mwenza wangu ni mtu wa maombi sana na baada ya kuwa nae maisha yangu ya kiroho yameimarika.Amehakikisha kauvivu nilikokua nako kwenye maombi na kujifunza neno kameondoka..

Once again,asante mkuu.πŸ™
 
Ashukuriwe Mungu mwema kwa kila jambo
 
Basi si mpaka iwe kweli[emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…