JamiiForums yamtumbua mtangazaji wa Nirvana (EATV), alazimika kuacha kazi ghafla..

hv mpakA mtu anajiingizaa kwenye haya mambo sijui tatizo linakuwA nni?ukiwatazama wengine wanakazi nzuri lakin bado wanapakuliwA kwakweli inasikitishA sanA na sijui wanatafuta kitu gani ktk maisha haya
 
Gasho anajulikana kwa kumuangalia ila kwa HK na B12 ni kuchafuana tu,hivi HK na B12 wanafanana na Kaoge?
Jaman kama vile siamn mnachosema kwamba Hapiga nae anapakuliwa hebu tuwe serious basi mbona naona kama vivulivivuli tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…