Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nani tena mwenye duka huyo mana naijua born 2shineClouds Radio yupo mmoja ana Duka la Nguo japo haonyeshi ila naye ni Hao hao
kaolewa na roma mkatolikiKapo kanalea mtoto ...kapo dancer 100!
Wameona mbali sana, teh teh tehMtu uhisiwe mwizi jambazi na hata jangiri sawa ila kuhisiwa unapakatwa duh parefu hapo!
Ndio bibie watu mpaka wafike huko mwisho wa reli ujue si maskhara.Wameona mbali sana, teh teh teh
Habari hii ni kweli? Nani anashika kipindi chake??anaelekea clouds tv au kwny tv mpya inayomilikwa na majizo itafunguliwa soon
Harris Kapinga jamaa ukimsikiliza huwez amin kama ni gasho.... Kumbe ni bonge la gasho
Binafsi alikuwa ananiboa kuliko watangazaji wote niliowahi kuwasikia. Anaongea kama kakalia kitu cha moto
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio 6+6 kweli?
Aaah mkuu uyo nahis una muonea kabisa yaanHarris Kapinga jamaa ukimsikiliza huwez amin kama ni gasho.... Kumbe ni bonge la gasho
Hapana....Roma kamuoa mama Ivan, sio Lotuskaolewa na roma mkatoliki
Ha ha haaa katupige mnada![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wabongo mmenishnda kwa kweli
Habari hii ni kweli? Nani anashika kipindi chake??